💡Ny Ordreportal - Se aktuel status >>

Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Af: Sarah Skov
Kategori: Lydbøger
Kategori nr.: 8770
Varenr.: 2683832
| Stregkode: 9788726216608
Direkte | Leverandør: Diverse kreditorer (bibi)

Vælg format:
Lager status
  • IR Lager
  • IR Fysisk lager
  • Næste ankomstdato til IR's lager -
  • Butik bestilling
  • Resv. antal
  • Disp. lager

Beskrivelse

"Anatabasamu anapofikiria kuhusu wakati walipoendesha gari kwenda msituni. Aliegesha gari kwenye barabara ndogo yenye vumbi kando ya msitu. Zamani wakati kulikuwa na joto walilazimika kufungua madirisha ili kutulia. Zamani wakati harufu ya nyasi iliyojaa umande na wimbo wa ndege uliwatumbuiza wakiwa ndani ya gari. Zamani wakati alitoa sauti za upeo wa raha ya kujamiiana, na kufanya ndege kuwa kimya."



Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.



Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kumbukumbu Zako, Hamu ya Kumpata Owen Gray na Erika Lust, Kula Nami na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake

Detaljer

  • EAN
    9788726216608
  • Vægt
    0 g
  • Disponent
    Direkte titel
  • Forfatter
    Sarah Skov
  • Forlag
    LUST
  • ISBN
    9788726216608
  • Sprog
    Swahili
  • Originaltitel
    Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi
  • Udgivelsesdato
  • Format
    EBOG
  • Themakode
    FA, FP, FR, FRD, 5X
  • Kategori
    Lydbøger
  • Kategori nr
    8770
  • Lev. varenr.
    99999999

Læs uddrag

Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi