💡Ny Ordreportal - Se aktuel status >>

FC Mezzi 1: Mapumziko

Af: Daniel Zimakoff
En del af: FC Mezzi
Kategori: Lydbøger
Kategori nr.: 8770
Varenr.: 2725049
| Stregkode: 9788726254686
Direkte | Leverandør: Diverse kreditorer (bibi)

Vælg format:
Lager status
  • IR Lager
  • IR Fysisk lager
  • Næste ankomstdato til IR's lager -
  • Butik bestilling
  • Resv. antal
  • Disp. lager

Beskrivelse

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, and Peter ni marafiki wakubwa. Wanapenda mpira wa miguu na wanacheza katika kilabu kimoja. Jake na Nick wanaingia ligi daraja la kwanza. Walikuwa na shauku kubwa! Walianzia nje kwenye michezo miwili ya kwanza, lakini Jake hakucheza sana kwenye mchezo wa kwanza. Na wakati zimesalia dakika kumi tu za mchezo wa pili, bado alitakiwa kucheza. Huu ni wakati ambao Jake anafanya maamuzi makubwa.

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!

Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Detaljer

  • EAN
    9788726254686
  • Vægt
    0 g
  • Disponent
    Direkte titel
  • Forfatter
    Daniel Zimakoff
  • Serie
    FC Mezzi
  • Forlag
    SAGA Egmont
  • ISBN
    9788726254686
  • Sprog
    Swahili
  • Originaltitel
    FC Mezzi 1: Mapumziko
  • Udgivelsesdato
  • Format
    EBOG
  • Themakode
    YF, YNW, YNWD, 1DND, 3MRB, 5AK
  • Kategori
    Lydbøger
  • Kategori nr
    8770
  • Lev. varenr.
    99999999

Læs uddrag

FC Mezzi 1: Mapumziko