💡Ny Ordreportal - Se aktuel status >>

FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho

Af: Daniel Zimakoff
En del af: FC Mezzi
Kategori: Lydbøger
Kategori nr.: 8770
Varenr.: 2724907
| Stregkode: 9788726254679
Direkte | Leverandør: Diverse kreditorer (bibi)

Vælg format:
Lager status
  • IR Lager
  • IR Fysisk lager
  • Næste ankomstdato til IR's lager -
  • Butik bestilling
  • Resv. antal
  • Disp. lager

Beskrivelse

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo?

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!

Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Detaljer

  • EAN
    9788726254679
  • Vægt
    0 g
  • Disponent
    Direkte titel
  • Forfatter
    Daniel Zimakoff
  • Serie
    FC Mezzi
  • Forlag
    SAGA Egmont
  • ISBN
    9788726254679
  • Sprog
    Swahili
  • Originaltitel
    FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho
  • Udgivelsesdato
  • Format
    EBOG
  • Themakode
    YF, YNW, YNWD, 1DND, 3MRB, 5AK
  • Kategori
    Lydbøger
  • Kategori nr
    8770
  • Lev. varenr.
    99999999

Læs uddrag

FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho